Jinsi ya kulea vifaranga wa Bata mzinga
Na Walter Riwa 0756264580 DSM (imehaririwa) Vifaranga wa bata mzinga ni tofauti na wa kuku kwani vifaranga wa kuku hutotolewa wakiwa tayari wanajua kujifunza kula na kunywa maji wakati wale…
Na Walter Riwa 0756264580 DSM (imehaririwa) Vifaranga wa bata mzinga ni tofauti na wa kuku kwani vifaranga wa kuku hutotolewa wakiwa tayari wanajua kujifunza kula na kunywa maji wakati wale…
Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi.…
Ng'ombe wakiswagwa kutoka soko la Nambogo na wafugaji jamii ya Barabaig mkoani Mororgoro
KANUNI ZA MSINGI Wape kuku lishe jnayofaa na maji safi haswa vifaranga wadogo. Wajengee mabanda/nyumba ya kujisitiri dhidi ya upepo na mvua. Safisha nyumba ya ndege mara kwa mara. Ikiwa…
BIASHARA YA MAZAO YA NG’OMBE DUNIANI Mazao makuu ya ng’ombe (cattle) ni: (i) NYAMA: beef (adult cattle) na veal (calves) na sehemu nyingine za ng’ombe zinatumika kwa chakula; (ii) MAZIWA…
Huduma za ugani hutolewa na wataalam wa mifugo wa Serikali wa Halmashauri, pamoja na sekta binafsi katika kliniki na vituo vya mifugo. Huduma zinazotolewa na Wataalamu wa Mifugo wa Serikali:-…
Na Michael Ngonyani Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha matumizi ya mchanga kabisa, isipokuwa mimea inaoteshwa katika chombo maalum ‘tray” ambacho kipo katika hali ya…
Na Mtafiti Utafiti wa awali na Utengenezaji wa Chakula Utafiti wa viungo mchanganyiko vinavyotumika na wakulima kulishia samaki, na unaofaa ulifanyika katika mikoa ya Arusha na Mbeya. Lengo la utafiti…
Na Deogratious Sijaona: Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha mchanga/udongo kabisa. Mimea inaoteshwa katika chombo maalum “tray” ambacho kipo safi na kina matundu kwa chini…
Na Mtafiti Chakula cha samaki ni tatizo kubwa katika maendeleo ya ufugaji wa samaki hapa nchini. Wengi wa wafugaji wadogo wa samaki hutegemea kurutubisha bwawa kwa kutumia chakula kisichokuwa na…
Na Augustino Chengula Avian leukosis unaojulikana kama kansa ya kuku unasababishwa na virusi walioko kwenye kundi moja na virusi vya ukimwi kisayansi linaitwa retroviruses (family retroviridae). Hawa virusi wa kuku…
Dondoo za ufugaji bora wa kuku wa asili Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja…
Hotuba ya Bajeti Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016 inapatikana hapa Hotuba-ya-Bajeti-2016-17. Wizara ya…
UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali…