SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU
Na mwandish wetu Lukas Michael Usisahau kupakua app ya Tovuti yako uipendayo ya UFUGAJI hapa 👉👉 APP YA UFUGAJI Habari ndugu mfugaji, katika ufugaji kuku kitu moja wapo cha kuzingatia…
Na mwandish wetu Lukas Michael Usisahau kupakua app ya Tovuti yako uipendayo ya UFUGAJI hapa 👉👉 APP YA UFUGAJI Habari ndugu mfugaji, katika ufugaji kuku kitu moja wapo cha kuzingatia…
Na Mwandishi wetu Lukas Michael Karibu tena ndugu mfugaji kwenye tovuti yako uipenday ya UFUGAJI ujifunze ili uongeze mradi wako. Wafugaji wengi wamejikita katika ufugaji kuku wa kienyeji, kuku wa…
Na Mwandishi wetu Lukas Michael Habari wafugaji leo ni siku nyingine tena, tukiendelea na masomo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa kuku. Kwa kawaida kulea vifaranga ni changamoto kwa wafugaji wengi, hivyo…
Na mwandishi wetu Lucas Michael Ndugu msomaji wa Tovuti yetu uipendayo ya UFUGAJI leo nakuletea Makala inayohusu matunzo kwa kuku anayeatamia mayai. Wafugaji wengi hawajali sana mazingira mayai yalipo ya…
Na mwandishi wetu Lucas Michael Lengo kuu kuchagua kuku wa kuzalisha ni kupata kundi la kuku litakalofaa kwa sifa zote katika uzalishaji. Watu wengi hupenda kufuga chotara ila ukiwauliza hao…
Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika sehemu hii…
Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana…
Mchanganuo Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena…
Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani. Ili kuku wafugwe…
A. MFUMO HURIA Katika mfumo huu kuku huachiwa wakitembea toka asubuhi wakijitafutia chakula na maji na kufungiwa kwenye vibanda visivyo rasmi wakati wa usiku. Huu ni mfumo rahisi lakini si…
MAHITAJI Kuku(tetea) 10 na Jogoo 01 Banda bora Vyombo vya chakula na maji Chakula bora Madawa na chanjo kwajili ya magonjwa Chanzo cha nishati joto na mwanga Elimu na ujuzi…
Unaweza kutunza kuku wa kienyeji na ukawa na kipato cha uhakika, pamoja na lishe nzuri kwa ajili ya familia. Ulishaji: Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa kwa kumia mahindi, mchele, na…
Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana…
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga…
Sifa za banda bora la Kuku Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku…
TARATIBU NA RATIBA ZA UCHANJAJI Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo…