Mwigulu-2

Ziara ya kushtukiza ya  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba katika machinio ya Ukonga Mazizi Dar ulifanywa usiku wa Feb 11 2016. Lengo la safari hiyo lilikuwa  ni kupambana na kuwakamata wanaohujumu kodi pamoja na mapato ya serikali. Kilichotekea katika safari hiyo ni kutolewa kwa amri ya kuwatafuta na kuwafungulia mashtaka wale wote waliohusika na upotevu wa mapato pamoja na kumsimamisha kazi Mkurugenzi. Zaidi fuatilia VIDEO YA TUKIO lenyewe hapaHAPA.

Mwigulu-5 Mwigulu-3

 

CHANZO: Millardayo.com na Tanzaniatoday.co.tz

 

Leave a Reply

error: Alert: Imezuiliwa !!