Na Sefania Kajange:
Ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji (pure) na wa kienyeji kutoka mataifa mbali mbali
Chicks starter. Wiki 1-8
| Kiini lishe | Uzito (kg) |
| Pumba za mahindi | 40 |
| Mtama Uliosagwa | 25 |
| Mashudu ya alizeti | 22 |
| Dagaa walio sagwa | 5 |
| Damu iliyosagwa | 3 |
| Unga wa mifupa | 2 |
| Chumvi | 0.5 |
| Premix | 1.5 |
| Vitamins | 0.5 |
| Methionine | 0.25 |
| Lysine | 0.25 |
| Jumla | 100 |
🙏🇹🇿✍
Fuga KIBIASHARA kwa MALENGO timiza NDOTO yako.
