Na Sefania Kajange:

Ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji (pure) na wa kienyeji kutoka mataifa mbali mbali

 

Chicks starter. Wiki 1-8

Kiini lisheUzito (kg)
Pumba za mahindi40
Mtama Uliosagwa25
Mashudu ya alizeti22
Dagaa walio sagwa5
Damu iliyosagwa3
Unga wa mifupa2
Chumvi0.5
Premix1.5
Vitamins0.5
Methionine0.25
Lysine0.25
Jumla100

 

🙏🇹🇿✍

Fuga KIBIASHARA kwa MALENGO timiza NDOTO yako.

Leave a Reply