Na Sefania Kajange:
Faida za kuku kumpa mboga za majani.
Tukianza njia nzuri inayopendekezwa kitaalamu ni kuning’iniza mboga
Sababu kubwa ni kuzuia kudonoana
¬_ Huongeza vitamini A hasa unapowa ukiwa bado mbichi bila kuanikwa maana ukiuanika unapunguza virutubisho hasa vitamini A soluble vitamin ambayo huvukizwa na mionzi ya jua
_ Kutengeneza gamba la yai kwa wanaotaga (egg shell)
_ Mayai huwa na kiini cha njano
_ Huzuia kuku kudonoana au kudonoa mayai n.k.
Zingatio: Kuku wakizoe kupewe mboga za majani ukija kuacha kuwapa inaweza kuwa sababu ya kudonoana au kudonoa mayai kwa kukosa walichokizoea
Pendelea sana kuwapa kuku wako mboga za majani ili wapate nilichokieleza hapo juu.

Leave a Reply