You dont have javascript enabled! Please enable it!

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2020/21

 

ADA NA TOZO MBALIMBALI ZA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI ZAREKEBISHWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KUFANYA BIASHARA

Waziri wa fedha na mipango, Mheshimiwa Philip I. Mpango (MB) kupitia hotuba yake iliyowasilishwa bungeni kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2020/2021 imerekebisha ad ana tozo mbalimbali katika sekta za Mifugo na uvivi. Lengo la marekebisho hayo ni kujenga nazingira rafiki kwa wafanyabiashara kwenye sekta ya mifugo na uvuvi kama ilivyo ainishwa hapa chini.

 

(a)                        Sekta ya Mifugo

 

Marekebisho kwenye tozo mbalimbali za Sekta ya Mifugo yamependekezwa kama ifuatavyo:

(i)        kufuta tozo ya kibali cha kusafirisha ngozi ndani na nje ya wilaya iliyokuwa ikitozwa shilingi elfu tano (5000/=) kwa kibali; na

 

(ii)      Kupunguza tozo mbalimbali kwenye sekta ya mifugo na mazao kama zilivyoanishwa kwenye Jedwali Na 2 na Na.3:


Jedwali Na. 2: Tozo za Vibali vya Kusafirisha Mifugo na Mazao Yake kwenda Nje ya Nchi (shilingi)

Na.

Aina                    ya

Mfugo/Zao

Kipimo

Tozo za Zamani

Tozo Pendekezwa

1

Ng’ombe

Kila

mmoja

30,000

25,000

2

Kondoo/Mbuzi

Kila mmoja

7,500

5,000

3

Nyama ya

ng’ombe

Kilo moja

150

100

4

Chakula cha wanyama

Tani

20,000

10,000

5

Mayai ya kula

Trei 1

(mayai 30)

1,000

100

 

Jedwali Na. 3: Tozo za Vibali vya Kuingiza Mifugo na Mazao yake ndani ya Nchi (shilingi)

Na.

Aina                 ya Mfugo/Zao

Kipimo

Tozo           za zamani

Tozo mpya

1

Punda

Kila mmoja

10,000

5,000

2

Ngamia

Kila mmoja

10,000

5,000

3

Nyama                 ya

ng’ombe

Kilo moja

5,000

4,000

4

Chakula               cha wanyama

Tani

20,000

10,000


(iii)    Kuongeza tozo mbalimbali kwenye sekta ya mifugo kama zilivyoainishwa kwenye Jedwali Na 4 na 5 ili kuhuisha tozo hizo kulingana na hali ya sasa ya thamani ya fedha;

 

Jedwali Na. 4: Tozo za Vibali vya Kusafirisha Mifugo na Mazao yake kwenda Nje ya Nchi (shilingi)

 

 

Na.

Aina ya

Mfugo/Zao

Kipimo

Tozo za

Zamani

Tozo

Pendekezwa

1

Farasi

Kila

mmoja

30,000

50,000

2

Mbwa/paka

Kila

mmoja

20,000

50,000

3

Ngamia

Kila

mmoja

30,000

50,000

4

Wanyama

pori

Kila

mmoja

30,000

50,000

5

Mbegu

Kwa

mrija

1,000

2,000


Jedwali Na. 5: Tozo za Vibali vya Kuingiza Mifugo na Mazao yake ndani ya Nchini (shilingi)

Na.

Aina ya

Mfugo/Zao

Kipimo

Tozo za

zamani

Tozo

Pendekezwa

1

Farasi

Kila

mmoja

10,000

50,000

2

Mbwa/paka

Kila

mmoja

30,000

50,000

3

Mayai ya kula

Trei (Mayai

30)

2,500

5,000

 

(iv)     Kuongeza ada ya kutunza mbuzi au kondoo kwenye vituo vya karantini, kupumzishia mifugo na ukaguzi kwa kila mmoja kutoka shilingi mia mbili (200/) hadi shilingi mia tano (500);

 

(v)       Kutoza tozo mpya za vibali vya kusafirisha nje ya nchi na kuingiza ndani ya nchi mifugo na mazao yake kama ilivyoainishwa kwenye Kiambatisho Na. 5

 

(vi)     Kutoza shilingi elfu ishirini (20,000/=) kwa kibali cha kusafirisha pembe za ng’ombe, mbuzi na kondoo pamoja na kwato na mifupa ndani na nje ya Wilaya;


(vii)   Kutoza shilingi elfu tano 5,000/= kwa kila kibali cha kusafirisha chakula cha Wanyama ndani na nje ya Wilaya;

 

(viii)  Kutoza kibali kwa ajili ya huduma kwa mifugo na mazao yake wanaopita nchini kwenda nchi nyingine kama zilivyoainishwa kwenye Kiambatisho Na. 6.

 

(b)                      Sekta ya Uvuvi

 

Mapendekezo ya kufuta tozo mbalimbali kwenye Sekta ya Uvuvi yametolewa kama ifuatavyo:

(i)         Kufuta tozo ya mrabaha wa dola za Marekani

0.4 kwa kilo ya samaki katika uvuvi wa bahari kuu;

 

(ii)       Kupunguza ada za leseni ya kuuza samaki na mazao ya uvuvi yanayovuliwa kwenye maji baridi (maziwa, mabwawa na mito) nje ya nchi kama zilivyoainisha kwenye Jedwali Na. 6.


Jedwali Na: 6: Mapendekezo ya Kupunguza Ada ya Leseni ya kuuza Samaki na Mazao ya Uvuvi yanayovuliwa kwenye Maji baridi Nje ya Nchi (US$)

 

 

Na

Aina ya samaki/zao

Raia wa Tanzania (USD)

Raia wa kigeni (USD)

Mwekezaji mdogo

Mwekezaji mkubwa

Mwekezaji Mkubwa

Tozo ya sasa

Tozo Pendekezw

a

Tozo ya sasa

Tozo Pendekezwa

Tozo ya Sasa

Tozo Pendekezwa

1

Sangara                   mzima ama aliyeondolewa

kichwa                         na

2000

1,000

2200

1,200

Hairuhusiwi

2,500

2

Minofu ya samaki

1000

Hairuhusiwi

Hairuhusiwi

1,000

Hairuhusiwi

2,500

3

Dagaa wakavu na

furu     wa            Ziwa Victoria

1,000

250

1,700

500

Hairuhusiwi

2,000

4

Sangara wakavu na samaki                 wengine

wakavu      kutoka

katika maji ya asili

500

500

700

700

Hairuhusiwi

2,000

5

Ngozi ya Samaki

1,000

750

1,200

1,000

2,000

2,000

6

Mabondo yaliyogandishwa na

makavu

2,500

1,200

2,700

1,500

Hairuhusiwi

5,000

7

Vichwa vya Samaki

na Vifua

1,000

750

1,200

1,000

Hairuhusiwi

2,000

8

Vyakula                       vya

Samaki na Mafuta ya Samaki

1,000

500

1,200

1,000

Hairuhusiwi

2,000

9

Samaki waliokaushwa

(Kayabo/Ng’onda)

1,000

750

1,200

1,000

Hairuhusiwi

2,000

10

Samaki                        wa

mapambo

1,000

1,000

1,200

1,200

Hairuhusiwi

Hairuhusiwi

11

Dagaa wakavu Ziwa

Tanganyika

1,500

250

1,800

500

Hairuhusiwi

2,500

12

Samaki   aina               ya Migebuka waliokaushwa, wabishi                  na

waliogandishwa

800

400

1,000

500

Hairuhusiwi

2,000

13

Dagaa wakavu wa

Ziwa Nyasa

1,000

250

1,200

500

Hairuhusiwi

2,000


(iii)    Kupunguza ada za leseni ya kuuza samaki na mazao ya uvuvi yanayovuliwa kwenye maji chumvi (bahari) nje ya nchi kama zilivyoainisha kwenye Jedwali Na. 7.

 

Jedwali Na. 7:  Mapendekezo ya Kupunguza ada ya Leseni ya kuuza Samaki na Mazao ya Uvuvi yanayovuliwa kwenye Maji chumvi Nje ya Nchi (USD)

 

Na

 

Aina                         ya

samaki/zao

Raia wa Tanzania (USD)

Raia wa kigeni (USD)

Mwekezaji mdogo

Mwekezaji mkubwa

Mwekezaji Mkubwa

Tozo ya

sasa

Tozo

Pendekezwa

Tozo             ya

sasa

Tozo

Pendekezwa

Tozo                     ya

Sasa

Tozo

Pendekezwa

 

1

Pweza waliogandishwa

2500

500

2700

1,000

5001

2,000

2

Kamba                   Kochi

Hai

2,500

500

2,700

1,000

500

Hairusiwi

 

3

Kamba                   Kochi mzima

aliyegandishwa

2500

500

2700

1000

5000

2500

 

4

Kamba                   Kochi aliyeondoliwa kichwa                          na

kugandishwa

2500

500

2700

1000

5000

2500

5

Kaa hai

2500

500

2700

1000

5000

Haruhusiwi

7

Kaa

aliyegandishwa

2500

500

2700

1000

5000

2500

 

8

Kamba                      miti walioondolewa vichwa                                 na

kugandishwa

2500

500

2700

1,000

5000

2,500

 

9

Kamba miti walio na vichwa na

kugandishwa

2500

500

2700

1,000

5000

2,500

 

10

Ngisi waliogandishwa

2500

500

2700

1,000

5002

2,000

11

Makome                         ya

Baharini

500

300

700

350

1000

Hairuhusiwi

12

Simbi

500

300

700

350

1001

Hairuhusiwi

 

13

Dagaa wa Maji chumvi

waliokaushwa

1000

250

1200

500

Hairuhusiwi

2000

14

Mazao mengineyo

1500

750

1700

1000

 

2000


(iv)     Kupunguza tozo za mrabaha wa kusafirisha samaki nje ya nchi kama ilivyoainishwa kwenye Kiambatisho Na.  7.

 

(v)       Kuongeza ada ya leseni ya kuuza Mapezi

/taya za papa nje ya nchi kutoka dola za kimarekani 2,700 hadi dola za kimarekani 5,000 kwa ajili ya kuendelea kuhifadhi papa na jamii zake ambao wako hatarini kutoweka;

 

(vi)     Kutoza ada ya leseni ya kusafirisha aina nyingine ya mabondo na makome nje ya nchi kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali Na. 8.

 

Jedwali Na 8: Mapendekezo ya Kutoza Ada ya Leseni ya Kusafirisha Samaki na Mazao Yake Nje

 

 

 

 

Na.

 

Raia

Mgeni

Mfanyabiashara

mdogo (US$)

Mfanyabiashara

mkubwa (US$)

Mfanyabiashara

mkubwa (US$)

1

Aina             nyingine

ya mabondo

300

500

2500

 

2

Makome

(nyumba                  za konokono)

 

300

 

350

 

Hairuhusiwi


(vii)   Kutoza ada ya cheti cha afya ya samaki na mazao yake yanayosafirishwa nje ya nchi (QA/APP/02) shilingi 30,000/= kwa ajili ya kukidhi matakwa ya soko la nje na afya ya mlaji;

 

(viii) Kutoza tozo za vibali vipya vya kusafirisha samaki na mazao yake kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali Na. 9 kwa ajili ya kuendeleza uhifadhi wa mazao hayo.

 

Jedwali Na. 9: Mapendekezo ya Kutoza vibali vipya vya kusafirisha samaki na mazao yake

 

 

Na.

Aina ya Samaki/Zao

Idadi

Tozo Pendekezwa

(Shilingi)

1

Kaa hai

Kilo moja

100

2

Kamba kochi hai

Kilo moja

100

3

Samaki       hai                  wa mapambo waliokamatwa maji ya

asili

Kipande kimoja

200

 

 

 

VIAMBATISHO

 

Kiambatisho Na.5

 

Mapendekezo ya Tozo Mpya za Vibali vya Kusafirisha Nje ya Nchi na Kuingiza Ndani ya Nchi Mifugo na Mazao (shilingi)

 

 

Na.

Aina ya Mfugo/Zao

Kipimo

Kuingiza ndani ya

Nchi

Kusafirisha nje ya Nchi

1

Sungura

Kila

mmoja

500

5,000

2

Mbegu

zilizochambuliwa kijinsia

Mrija

2,000

2,000

3

Sampuli za kibailojia

Kwa kibali

5,000

100,000