ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUTUNZA VIFARANGA
Na Mwandishi wetu Lukas Michael Habari wafugaji leo ni siku nyingine tena, tukiendelea na masomo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa kuku. Kwa kawaida kulea vifaranga ni changamoto kwa wafugaji wengi, hivyo…
Na Mwandishi wetu Lukas Michael Habari wafugaji leo ni siku nyingine tena, tukiendelea na masomo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa kuku. Kwa kawaida kulea vifaranga ni changamoto kwa wafugaji wengi, hivyo…
Na mwandishi wetu Lucas Michael Ndugu msomaji wa Tovuti yetu uipendayo ya UFUGAJI leo nakuletea Makala inayohusu matunzo kwa kuku anayeatamia mayai. Wafugaji wengi hawajali sana mazingira mayai yalipo ya…
Na mwandishi wetu Lucas Michael Lengo kuu kuchagua kuku wa kuzalisha ni kupata kundi la kuku litakalofaa kwa sifa zote katika uzalishaji. Watu wengi hupenda kufuga chotara ila ukiwauliza hao…
NENO LA USHAWISHI…….JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni…
Wadau nimeona ni vyema nikawashirikisha nanyi kuitazama na kuwasikiliza watoa mada katika video inayopatikana kwenye link ifuatayo; Uchakataji wa mazao ya Uvuvi Dagaa wanao kaushwa kwa njia ya Jua katika…
Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika sehemu hii…
Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana…
Ndugu Mdau wa Ukurasa huu, ninayo furaha kukushirikisha kuitizama Video hii ujionee jinsi ambavyo wadau wengine wamehamasika katika tasnia hii ya ufugaji samaki kibiashara. Video hiyo utaipata kwa link ifuatayo…
Mchanganuo Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena…
Kuku chotara/kienyeji hufungwa kwa matumizi ya kutaga mayai na pia kwa nyama.Mfugaji atachagua aina na mfumo wa chakula kutokana na yeye anafuga kuku hawa kwa matumizi gani. Ili kuku wafugwe…
A. MFUMO HURIA Katika mfumo huu kuku huachiwa wakitembea toka asubuhi wakijitafutia chakula na maji na kufungiwa kwenye vibanda visivyo rasmi wakati wa usiku. Huu ni mfumo rahisi lakini si…
MAHITAJI Kuku(tetea) 10 na Jogoo 01 Banda bora Vyombo vya chakula na maji Chakula bora Madawa na chanjo kwajili ya magonjwa Chanzo cha nishati joto na mwanga Elimu na ujuzi…
Unaweza kutunza kuku wa kienyeji na ukawa na kipato cha uhakika, pamoja na lishe nzuri kwa ajili ya familia. Ulishaji: Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa kwa kumia mahindi, mchele, na…
SIFA ZA JOGOO NA TETEA BORA 1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa…
Magonjwa ya kuku kwa ujumla yapo mengi sana na kuna baadhi ya magonjwa ambayo hayapo hapa nchini,ni vyema kujua dalili hizi za magonjwa mapema ili kuepusha hasara inayoweza kutokea kutokana…
Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe. Aina ya bwawa la kufugia samaki. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond” ambalo…