NJIA BORA ZA UTUNZAJI WA MAYAI YA KUKU
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga…
Kwa kawaida kuku huanza kutetea(Kutoa mlio wa ishara ya kutaga) anapofikisha miezi sita hadi minane. Hivyo ni vyema viota viandaliwe mapema wakiwa na umri wa miezi mitano. Kuku anapoanza kutaga…
Sifa za banda bora la Kuku Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku…
TARATIBU NA RATIBA ZA UCHANJAJI Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo…
LISHE BORA ENDELEVU KWA MATOKEO BORA ZAIDI Mfugaji ili uwape kuku wako lishe bora yenye kuendelea, na ili upate matokeo bora zaidi katika ufugaji wako wa kuku basi yakupasa kuzingatia…
Habari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia. Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi…
Mnamo tarehe 27/01/2017 kampuni ya ROFACOL CO. LTD inayojihusisha na masuala ya ufugaji samaki Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini yenye ofisi zake Kyela Mjini iliandaa semina juu ya Ufugaji…
Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufi kirie yafuatayo:- a) Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua vifaranga wako mara kwa mara. b) Ijengwe hatua…
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
Ugonjwa ni nini? Ugonjwa ni mabadiliko kutoka katika afya ya kawaida ya mnyama/kuku. Hali hii hutokea pale vimelea au vijidudu vinapoingia mwili wa mnyama, kwa kula vyakula vyenye sumu, au…
1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa hii utaigundua pindi ukimjazia wapinzani, atakuwa…
Pichani chini ni Washiriki wa Semina ya Usalama wa Mazingira ya Kufugia Samaki na Magonjwa, Zaidi ya Mameneja kumi kutoka mashamba mbalimbali ya samaki likiwemo shamba la EDEN AGRI-AQUA CO.LTD…
*Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.*Kinakachofanyika katika…
Click link hii ili Uifunze hapa umuhimu wa usalama wa mazingira ya kufugia samaki (Biosecurity). Kutokana na kuongezeka kwa Magonjwa ya Samaki katika nchi zinazotuzunguka zikiwemo Congo, Zambia, Msumbiji, Namibia,…
Click link hii ili Uifunze hapa umuhimu wa usalama wa mazingira ya kufugia samaki (Biosecurity). Kutokana na kuongezeka kwa Magonjwa ya Samaki katika nchi zinazotuzunguka zikiwemo Congo, Zambia, Msumbiji, Namibia,…
KIBANDA CHA KUFUGIA Tunasaidia kwenye ujenzi wa vibanda bora vya sungura, kwagharama ya Tshs 65,000/= tu kwa kimoja cha ukubwa wa futi 2.53 , chenye uwezo wa kufugia Sungura mmoja…
Utangulizi Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri Nguruwe wanafugwa maeneo mengi duniani kwa zaidi…
Ndugu wapenzi na wafuatiliaji, wasomaji na wachangia wa Tovuti ya Ufugaji sasa mnaweza kufuatilia kupitia app inayopatikana playstore kwa jina la UFUGAJI. Au unaweza kutumia link hii kupakua app ya…