Hivyo viuvimbe vya mduara nje ya huo moyo wa nguruwe ndo lava ambao wanaweza kumpata pia binadamu akila nyama ya nguruwe wenye ugonjwa. Hawa ni lava wa minyoo aina ya tegu.Hii picha inaonyesha viuvimbe vinge kwenye nyama ya nguruwe wakiwa ni wanaoshambulia nguruwe.