UMUHIMU WA KUPIMA UZITO NGURUWE WAKO
*MIZANI NA UPIMAJI UZITO* _By ARBO Pigs Farm_ Katika *Ufugaji wa Nguruwe Kisasa na kwa Tija/Kibiashara*, Mizani na Upimaji Uzito ni Nyenzo muhimu kabisa kwa Mfugaji wa Nguruwe kwenye shughuli…
*MIZANI NA UPIMAJI UZITO* _By ARBO Pigs Farm_ Katika *Ufugaji wa Nguruwe Kisasa na kwa Tija/Kibiashara*, Mizani na Upimaji Uzito ni Nyenzo muhimu kabisa kwa Mfugaji wa Nguruwe kwenye shughuli…
Nguruwe moja jike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga:  Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini (Iodine)…
A. Utangulizi Chakula bora kwa nguruwe ni moja ya swala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha nguruwe kinagarimu yapata…
Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya nguruwe ambayo haina kinga wala tiba.…
Homa ya nguruwe ni ugonjwa unaoenezwa na kirusi na umekuwa ukijirudia rudia kila mwaka kwa wafugaji wengi nchini mwetu. Hadi sasa ugonjwa huu hauna chanjo wala tiba, lakini ueneaji wake…
Utangulizi Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri Nguruwe wanafugwa maeneo mengi duniani kwa zaidi…
Na Patrick Tungu Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula yaani mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. Nguruwe hutegemea sana mambo yafuatayo; 1. Bada…
Na gazeti la Mwanachi
Gari aina ya FUSO lilikuwa limebeba Nguruwe likielekea Dar es Salaam limegeongana na Lori (Semi trailer) lililokuwa limebeba vifaa vya aina mbalimbali maeneo ya Vigwaza. Ajali hiyo imesababisha vifo vya…
Na Augustino Chengula Ugonjwa wa homa ya nguruwe unaojulikana kwa kitaalamu kama African Swine fever (ASF) unasababishwa na virusi vijulikanao kwa kitaalamu kama African Swine fever virus. Homa ya nguruwe…
Utunzaji wa nguruwe mara nyingi hutegemea aina ya nguruwe, njia na aina ya ufugaji. Kwa mfano nguruwe jike anayefugwa kwa ajili ya kuzaa anahitaji kutunzwa tofauti na wale wanaonenepeshwa kwa…
Gonga kiunganishi hiki Ufugaji bora wa kuzuia lava hatari wa nguruwe na anaye athiri binadamu kupata maelezo yake kwa kina.
Utangulizi Nchini Tanzania ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu, nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia kipato mfugaji kwa haraka, kwani huzaa mara mbili…
Pakua kitabu hiki na ujifunze ufugaji wa nguruwe ukiwa nyumbani MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA NGURUWE KWA MFUGAJI MDOGO
Hili ni banda la nguruwe ambalo limegawashwa katika maeneo makuu mawili; Eneo la mwanzo ni la nguruwe wakubwa kuanzia wale walioacha kunyonya na eneo la pili ambalo lonaunganisha sehemu iliyoezekwa…
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA UFUGAJI WA NGURUWE NI RAHISI NA WENYE TIJA UFUGAJI WA NGURUWE WENYE TIJA UFUGAJI WA NGURUWE UFUGAJI BORA WA NGURUWE AINA, NJIA ZA UFUGAJI NA…
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA HOMA YA NGURUWE (AFRICAN SWINE FEVER) HOMA YA NGURUWE YA H1N1 UGONJWA WA TEGU (PORCINE CYSTICERCOSIS) BROSHA: KINGA NA CHANJO MUHIMU ZA NGURUWE UJUE UGONJWA…
Nguruwe huhitaji kulishwa vizuri ili waweze kukua haraka na kufikia uzito wa kuchinjwa mapema. Ikiwa watatunzwa vizuri watafikia uzito wa kilo 60 hadi 90 wakiwa na umri wa miezi sita…
You must be logged in to post a comment.