MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu…
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji…
UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na kusambaa kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji kuku umeongezeka kwa kasi, magonjwa…
Aina za Mbuzi wa Maziwa Aina ya mbuzi anayepatikana sehemu nyingi nchini ni Small East African Goat na hutoa kiwango kidogo sana cha maziwa. Hata hivyo mbuzi hawa wanaweza kuzalishwa…
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto zake na zinatofautiana. Hivyo hata ufumbuzi wa changamoto hizo unatofautiana sana. Kikubwa usikate tamaa maana ndio…
1. KIUNGANISHI: APP YA UFUGAJI BORA 2. KUNDI LA KILIMO NA MIFUGO TELEGRAM JIUNGE KUPITIA HAPA 3. UNA WEBSITE YAKO HOST KWA HAWA NI WAZURI SANA NIMEHOST KWAO MUDA MREFU…
PATA ELIMU HII KUPITIA APP MPYA ILIYOPORESHWA HAPA Bakteria ni nini? Bila shaka swali hili kila mfugaji anaweza kulijibu kwa ukamilifu maana mifugo yake kwa wakati mmoja au mwingine imeugua…
MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza…