Namna ya kujiunga na kundi la kilimo na mifugo
Ndugu wadau wa mifugo, kuna kundi la kilimo na mifugo limeanzaishwa likiwa na miezi miwili sasa. Lilianzia whatsapp lakini sasa lipo Teregram kwasababu Teregram inauwezo wa kuwa na wengi zaidi.…
Ufugaji wa kuku wa kienyeji kama mradi
Na. Ev. Mujaya Mujaya Simu: +255715678122 au +255768678122 Barua Pepe: ev.mujaya@gmail.com MAHITAJI Kuku(tetea) 10 na Jogoo 01 Banda bora Vyombo vya chakula na maji Chakula bora Madawa na chanjo kwajili…
Mambo ya msingi mifugo na kilimo viendelee hapa nchini
Ili mifugo na kilimo viendelee Tanzania ( Mazao, Mifugo na Uvuvi) vinahitaji yafuatayo; Mifugo Lazima tuwe na mitamba ya mifugo wa kisasa wa maziwa na nyama ili kupata tija kubwa…
Namna bora ya kufuga Bata Mzinga
Utangulizi: Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi. Ni muhimu…
Misingi ya ufugaji wa kuku wa asili
FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU WA ASILI (1) Ni chanzo cha haraka cha pesa (2) Nyama ya kuku ni protein tosha (3) Kinyesi cha kuku ni mbolea (4) Maganda na…
Usimamizi wa migogoro ya ardhi hususan kati ya wakulima na wafugaji
MADA KUHUSU USIMAMIZI WA MIGOGORO YA ARDHI HUSUSAN KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILIYOWASILISHWA KWENYE MKUTANO WA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA WAKUU WA WILAYA YALIYOMO 1.0…
Ugonjwa wa kutupa mimba kwa wanyama (Brucellosis)
Na Augustino Chengula Ugonjwa wa kutupa mimba (Brucellosis) ni ugonjwa unaosababishwa na vimlea vya bakteria wajulikano kitaalamu kama Brucella. Ugonjwa wa kutupa mimba ni ugonjwa muhimu kwa wanyama kwani husababisha…
Namna uhamilishaji (Artificial Insemination) inavyofanyika NAIC Arusha
Video hii inaonyesha namna uhamilishaji (A.I) unavyofanyika pale NAIC (National Artificial Insemination Centre) Arusha. Video hii itakufundisha maana ya uhamilishaji, historia ya uhamilishaji Tanzania na namna uhamilishaji unavyofanyika na umuhimu…
Umuhimu wa uzoefu katika kumtambua ng’ombe aliye kwenye joto
Na Mkulima Mbunifu Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa. Kushindwa kutambua…
Mmea huu unaongeza utagaji wa mayai kwa kuku
Unaweza kufikiria ni mzaha lakini wafugaji wanafanya haya na kuona Mafanikio kwa kiasi kikubwa sana. Miezi michache iliyopita tulipotembelea wakulima huko Njombetulikutana na utafiti huu ambao wakulima wamefanya na kujaribu…
Chakula cha samaki: Njia bora ya kudhibiti ubora wake
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji…
Mgogoro wa Wafugaji na Wakulima Mvomero wateketeza tena mifugo zaidi ya 200
Kikundi cha ulinzi wa jadi kinachoundwa na wakulima maarufu kama Mwani, kinadaiwa kuvamia nyumba ya mfugaji mmoja wa jamii ya Kimasai katika kijiji cha Kambala, wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro…
Ufugaji wa samaki hatua kwa hatua: Hatua ya nne
Na Farida Mkongwe HATUA YA 4: ULISHAJI NA UTUNZAJI WA SAMAKI BWAWANI Katika hatua ya tatu tuliona kuwa vifaranga kabla ya kusafirishwa viwekwe kwenye vibwawa vidogo vidogo kwa muda wa…
Mambo muhimu ya kuzingatia unapotunza vifaranga
Kwa karne na miaka mingi, ufugaji wa kuku imekuwa ni kazi muhimu na inayokubalika katika jamii nyingi. Ni kazi isiyohitaji gharama kubwa sana, ambayo imekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa…
Jinsi ya kuzuia kuku wako wasipate magonjwa
Na Mkulima Mbunifu Ufugaji wa kuku una faida kubwa, lakini mkulima anatakiwa kuzuia kadri awezavyo uwezekano wa kuwepo magonjwa shambulizi. Wafugaji wengi wamekuwa wakiwekeza katika ufugaji wa kuku. Ufugaji huo…
Magonjwa ya kuku, Tiba na Kinga
1) Ugonjwa wa Mdondo Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo…
Aina bora za ng’ombe wa maziwa, banda na namna ya kuanza ufugaji
Na Mkulima Mbunifu Uzalishaji wa maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo,…
Njia ya kutengeneza lishe bora ya asili kwa ajili ya ng’ombe wa maziwa kwa gharama nafuu
Na Mkulima Mbunifu Lishe bora Ng’ombe hawezi kulaumiwa kwa kushindwa kufanya urutubishaji. Ukosefu wa lishe sahihi husababisha ng’ombe kuwa dhaifu na pia husababisha kutokea kwa magonjwa ambayo huweza kuathiri mfumo…
Jifunze kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe
Vyakula vya kuku vinaweza kupatikana madukani au kutengenezwa na mfugaji mwenyewe. Ili kuku aweze kukua haraka na kutoa mazao mengi na bora ni lazima chakula kitengenezwe katika mchanganyiko wenye uwiano…
