TEKNOLOJIA YA UFUGAJI MSETO WA SAMAKI, KUKU NA MAZAO YA KILIMO
Utangulizi Ufugaji wa samaki ni ukuzaji wa samaki katika mabwawa, matenki n.k Mseto wa ufugaji wa samaki, kuku na kilimo cha mzao ya kilimo (Integrated Aquaculture agriculture -IAA) ni kilimo…