Tanzania ijayo: Ufugaji wa kisasa na biashara kubwa ya mazao ya mifugo yetu
BIASHARA YA MAZAO YA NG’OMBE DUNIANI Mazao makuu ya ng’ombe (cattle) ni: (i) NYAMA: beef (adult cattle) na veal (calves) na sehemu nyingine za ng’ombe zinatumika kwa chakula; (ii) MAZIWA…
