Umuhimu wa kuwa na viota bora kwa ajili ya ufugaji wa kuku
Na Mkulima Mbunifu Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa. Viota ni mahali ambapo…
Na Mkulima Mbunifu Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa. Viota ni mahali ambapo…
Utunzaji wa nguruwe mara nyingi hutegemea aina ya nguruwe, njia na aina ya ufugaji. Kwa mfano nguruwe jike anayefugwa kwa ajili ya kuzaa anahitaji kutunzwa tofauti na wale wanaonenepeshwa kwa…
Tasnia ya ufugaji wa samaki inajumuisha ukuzaji wa viumbe vya kwenye maji (bahari na maji baridi) katika mazingira tofauti na yale ya asili. Lengo kuu ni kukuza kwa muda mfupi…
Iili kufanikiwa kufikia malengo ya kufuga kuku wa mayai ni vyema mfugaji akapata wasaa wa kujiuliza maswali kadhaa ili awe na dira sahihi ya kile anachotarajia kufanya kutokana na mapato…
Gonga kiunganishi hiki Ufugaji bora wa kuzuia lava hatari wa nguruwe na anaye athiri binadamu kupata maelezo yake kwa kina.
Kuhifadhi mbegu za samaki kwa mzunguko mwingine Unapovuna samaki, hakikisha kuwa vifaranga au samaki wazazi utakaokuwa umewachagua wanawekwa katika kijibwawa kingine (kinachojulikana kama nursery pond) kabla ya kuwarudisha bwawa la…
MABWAWA YA KUFUGIA SAMAKI Hili ni bwawa la kuchimbwa chini, lipo katika kituo cha ufugaji wa samaki cha serikali kilchopo Kingolwira mjini Morogoro. Yapo na mabwa mengine mengi kama yanavyoonekana…
LISHE YA KUKU Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
Vipi tunaweza kujikinga na homa ya mafua ya ndege Homa ya mafua makali inaweza kumpata binadamu na ina uwezo wa kukufanya ukawa mgonjwa sana au hata kukuua. Njia rahisi ya…
Katika siku za karibuni kumeibuka tena taarifa za vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Hivi karibuni kulikuwa na taarifa za kuuawa ng’ombe 68 na…
Vifuatavyo ni vituo vya kuzalisha vifaranga wa samaki hapa nchini Tanzania Bukoba (Bukoba Mjini) Moshi (Karanga) Morogoro (Kingolwira) Lindi (Mtama) Mara (Musoma) Mwanza (Mwanza) Songea (Luhira) Tabora (Sikonge)
Utangulizi Nchini Tanzania ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu, nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia kipato mfugaji kwa haraka, kwani huzaa mara mbili…
Pakua kitabu hiki na ujifunze ufugaji wa nguruwe ukiwa nyumbani MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA NGURUWE KWA MFUGAJI MDOGO
Hili ni banda la nguruwe ambalo limegawashwa katika maeneo makuu mawili; Eneo la mwanzo ni la nguruwe wakubwa kuanzia wale walioacha kunyonya na eneo la pili ambalo lonaunganisha sehemu iliyoezekwa…
Ufugaji wa nyuki unakuja kwa kasi sana Tanzania na maeneo mengine duniani kutokana na umuhimu wa zao lake la asali. Jitihada sasa zinafanyika kuhamasisha ufugaji wa nyuki ikiwa ni pamoja…
Vyakula vya kuku vinaweza kupatikana madukani au kutengenezwa na mfugaji mwenyewe. Ili kuku aweze kukua haraka na kutoa mazao mengi na bora ni lazima chakula kitengenezwe katika mchanganyiko wenye uwiano…
A. SHERIA ZA MIFUGO (Livestock Acts) Sheria ya Veterinari (Veterinary Act) Na. 16 ya Mwaka 2003 Sheria ya Magonjwa ya Mifugo (Animal Diseases Act) Na. 17 ya Mwaka 2003 Sheria…
Utangulizi Kitaalamu, tekinolojia ya zana za kilimo imegawanyika katika sehemu kuu tatu. Tekinolojia ya kwanza ni ya kutumia nguvu za mwanadamu kama jembe la mkono. Tekinolojia ya kati ni ya…
Nguruwe huhitaji kulishwa vizuri ili waweze kukua haraka na kufikia uzito wa kuchinjwa mapema. Ikiwa watatunzwa vizuri watafikia uzito wa kilo 60 hadi 90 wakiwa na umri wa miezi sita…
You must be logged in to post a comment.