Homa ya Matumbo (Fowl Typhoid) na Mharo Mweupe (Pullorum Disease) kwa Kuku
Na Augustino Chengula Haya ni magonjwa mawili tofauti yanayoshamulia kuku yenye kufanana kwa asilimia kubwa sana. Magonjwa yote yanasababishwa na bacteria aina ya Salmonela wakitofautiana kidogo wadudu wake. Wakati Taifoidi…
