Ufugaji wa kuku tangu vifaranga
ULEAJI BORA WA VIFARANGA Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi. Katika uleaji…
Serikali itafute suluhisho la kudumu migogoro ya wakulima na wafugaji
Katika siku za karibuni kumeibuka tena taarifa za vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Hivi karibuni kulikuwa na taarifa za kuuawa ng’ombe 68 na…
Dalili za kutambulisha ng’ombe aliye kwenye joto
Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa. Kushindwa kutambua joto ni chanzo…
Vituo vya kuzalisha vifaranga wa samaki Tanzania
Vifuatavyo ni vituo vya kuzalisha vifaranga wa samaki hapa nchini Tanzania Bukoba (Bukoba Mjini) Moshi (Karanga) Morogoro (Kingolwira) Lindi (Mtama) Mara (Musoma) Mwanza (Mwanza) Songea (Luhira) Tabora (Sikonge)
Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji
Idadi ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya…
Aina, njia za ufugaji na uchaguzi wa nguruwe bora
Utangulizi Nchini Tanzania ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu, nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia kipato mfugaji kwa haraka, kwani huzaa mara mbili…
Mwongozo wa ufugaji bora wa nguruwe kwa mfugaji mdogo
Pakua kitabu hiki na ujifunze ufugaji wa nguruwe ukiwa nyumbani MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA NGURUWE KWA MFUGAJI MDOGO
Darasa la ufugaji wa kuku
MAZOEA YANAYOWAGHARIMU WAFUGAJI Kuna baadhi ya wafugaji huwa wanafuga kwa kutegemea uzoefu walionao katika ufugaji bila ya kujali kuwa kuna mabadiliko kila siku katika sekta ya mifugo, wengi wao huwa…
ORODHA YA VITABU VYA UFUGAJI
VIUNGANISHI VYA KUPAKUA VITABU VITABU VYA KISWAHILI UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI BIASHARA YA UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI UFUGAJI BORA WA KUKU MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA…
Ufugaji bora wa nguruwe
Hili ni banda la nguruwe ambalo limegawashwa katika maeneo makuu mawili; Eneo la mwanzo ni la nguruwe wakubwa kuanzia wale walioacha kunyonya na eneo la pili ambalo lonaunganisha sehemu iliyoezekwa…
Dondoo kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza…
Ufugaji wa nyuki Tanzania
Ufugaji wa nyuki unakuja kwa kasi sana Tanzania na maeneo mengine duniani kutokana na umuhimu wa zao lake la asali. Jitihada sasa zinafanyika kuhamasisha ufugaji wa nyuki ikiwa ni pamoja…
UFUGAJI WA KONDOO
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA KANUNI BORA ZA UFUGAJI WA KONDOO BROSHA: UFUGAJI BORA WA KONDOO UFUGAJI WA KONDOO KISASA UNAFAIDA KUBWA NA HUONGEZA KIPATO UPOTEVU WA KIJUSI (FOETUS) WAKATI…
ELIMU YA MAGONJWA YA KONDOO NA TIBA SOMA HAPA
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA ORMILO (Coenurus cerebralis), UGONJWA UNAOSUMBUA WAFUGAJI WA MBUZI NA KONDOO NCHINI
ELIMU YA UFUGAJI WA MBUZI SOMA HAPA
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA UFUGAJI WA MBUZI KANUNI BORA ZA UFUGAJI WA MBUZI UCHUNGAJI WA MBUZI KWA KUFUNGA KAMBA BROSHA: UFUGAJI BORA WA MBUZI UFUGAJI WA MBUZI KATIKA SEHEMU…
Jifunze kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe
Vyakula vya kuku vinaweza kupatikana madukani au kutengenezwa na mfugaji mwenyewe. Ili kuku aweze kukua haraka na kutoa mazao mengi na bora ni lazima chakula kitengenezwe katika mchanganyiko wenye uwiano…
Chanja kuku wako kuongeza kipato
Watu wengi wamekuwa wakianzisha miradi ya ufugaji wa kuku bila kuzingatia kanuni bora za utekelezaji wa mradi huo. Moja ya mambo ambayo wafugaji mara nyingi husahau kuzingatia ni utoaji wa…
You must be logged in to post a comment.