UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI TANGU VIFARANGA HADI KUKU WAKUBWA
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Kuku wanaopata lishe bora, kutunzwa vizuri na kupatiwa chanjo dhidi ya magonjwa yanayotokea mara kwa mara huwa na afya nzuri. Ni bora kuzuia magonjwa kuliko kutibu ili kupunguza vifo na…
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa kuku na jamii nyingine za ndege pia hupata binadamu Husababisha vifo vingi sana vya ndege na binadamu wakipatwa huweza kufa pia. MAAMBUKIZI Ugonjwa huambukiza…
Mlipuko wa homa ya nguruwe umekuwa ukijitokeza karibu kila mwaka ndani ya nchi yetu kwa maeneo tofauti. Mara nyingi mlipuko umekuwa ukijitokeza maeneo hasa ya mikoa iliyo kwenye barabara kuu…
Kwa kawaida mwili unahitaji vitu vikuu kama vitano kwenye chakula Nishati au energy Protein Vitamin Madini au minerals Maji Hi ni sayansi ambayo hata enzi za somo la sayansi kimu…
UGONJWA WA MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia 90%. Ndege wakubwa hustahimili kidogo…
MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder (kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana, na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo…
Na Rubaba Imani UTANGULIZI Kama mnyama yeyote sungura anahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha kwa wingi. Anahitaji kujengewa chumba maalum na kuangaliwa kila siku na kuhakikisha usafi wa vyumba hivi.…
–Tukizungumzia kuku ni ufugaji wenye faida sana kama ukizingatia utaratibu wa ufugaji, na magonjwa ni moja ya changamoto kubwa katika ufugaji. Leo tuangalie ugonjwa wa haharisha damu kwa kuku (coccidiosis).…
Viroboto na utitiri vinaweza kudhibitiwa kwa kutumia dawa ya asili na dawa za viwandani. Dawa za asili za kutokomeza utitiri katika banda la kuku Imeandaliwa na John Nswima Pengine umetumia…
Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili. Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler (Kutoka Sasso). Hawa Sasso wanakuwa na umbo kubwa na kuongeza uzito (nyama). Akapandishwa Jike wa Rhodes…
SEHEMU YA KWANZA SOMA HAPA KANUNI ZA KUFUATA UPANDE WA BIOSECURITY YA KUKU KILA SIKU a) Nyaraka na Mafunzo kwa wafanyakazi i) Kila shamba la kuku/hatchery iwe na nyaraka (document)…
Na Augustino Chengula Ni jambo jema kufahamu kama mayai yanayo atamiwa na kuku wako yataanguliwa yote au mangapi hayataanguliwa. Na kwa wanaototoresha vifaranga ni muhimu zaidi kwao kujua hali ya…
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu…
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji…
UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na kusambaa kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji kuku umeongezeka kwa kasi, magonjwa…
Aina za Mbuzi wa Maziwa Aina ya mbuzi anayepatikana sehemu nyingi nchini ni Small East African Goat na hutoa kiwango kidogo sana cha maziwa. Hata hivyo mbuzi hawa wanaweza kuzalishwa…
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto zake na zinatofautiana. Hivyo hata ufumbuzi wa changamoto hizo unatofautiana sana. Kikubwa usikate tamaa maana ndio…
1. KIUNGANISHI: APP YA UFUGAJI BORA 2. KUNDI LA KILIMO NA MIFUGO TELEGRAM JIUNGE KUPITIA HAPA 3. UNA WEBSITE YAKO HOST KWA HAWA NI WAZURI SANA NIMEHOST KWAO MUDA MREFU…