Ufugaji bora wa Sungura
UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na…
UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na…
Mbuzi na kondoo wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu na kuishi katika mazingira magumu kama ya maradhi na ukame ikilinganishwa na ng’ombe. Kutokana na umbile lao dogo wanaweza kufugwa katika eneo…
Wakati wa kufuga ni muhimu kuku wapate sehemu ya wazi wanayoweza kutembea kwa uhuru. mfugaji mwenye lengo la kufuga kuku wengi wenye umri mmoja na kupata mayai mengi au aweze…
A. Upotevu wa kijusi kwa ng’ombe Imeeandikwa na Mhadhiri Dr. H. E. Nonga wa Chuo cha Sayansi ya Tiba ya Wanyama na Binadamu, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kilichopo…
Imeeandikwa na watafiti B. A.Temba, F.K.Kajuna, G.S.Pango na R Benard kuchapishwa kwenye jarida (journal) la Livestock Research for Rural Development toleo la 28 (1) la Januari 2016 kwa lugha ya…
Ndege wa kufuga ni kama vile kuku, bata, batamzinga, kanga na bata bukini. Kuku hasa ndio wanaofugwa zaidi. Watu wengi hufuga kuku wa kienyeji ambao huachiliwa kuzurura wakijitafutia chakula. Ingawa…
Umri (Wiki) Kiasi (gramu) Kiasi kwa kuku 100 (Kilo) 1 12-15 1.2-1.5 2 15-21 1.5-2.1 2 21-35 2.1-3.5 4-6 35-50 3.5-5.5 7-8 55-60 5.5-6.8 8-16 60-68 6.8-7.5 16-27 68-80 7.5-9.0…
Na Mkulimastar Upungufu wa vitamini hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin. Sio kila ugonjwa unao uona katika kuku, kanga, na hata…
Imeandikwa na mhariri wa Habari Leo IMECHAPISHWA: 07 AGOSTI 216 MAONESHO ya wakulima ya Nanenane yaliyoanza wiki iliyopita, yanatarajiwa kufikia kilele chake kesho katika Kanda mbalimbali nchini, huku yale ya…
Watu wengi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Na Patrick Tungu Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula yaani mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. Nguruwe hutegemea sana mambo yafuatayo; 1. Bada…
Na Erick Joseph LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike…
Kitendo cha kutupa samaki kinaweza kuonekana kama kitendo kisicho cha kawaida au jambo lisilo la busara, lakini kwa ujumla huwepo upotevu mkubwa wa samaki baada ya kuvuliwa. Baadhi ya wavuvi…
Na Walter Riwa 0756264580 DSM (imehaririwa) Vifaranga wa bata mzinga ni tofauti na wa kuku kwani vifaranga wa kuku hutotolewa wakiwa tayari wanajua kujifunza kula na kunywa maji wakati wale…
Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi.…
Ng'ombe wakiswagwa kutoka soko la Nambogo na wafugaji jamii ya Barabaig mkoani Mororgoro
KANUNI ZA MSINGI Wape kuku lishe jnayofaa na maji safi haswa vifaranga wadogo. Wajengee mabanda/nyumba ya kujisitiri dhidi ya upepo na mvua. Safisha nyumba ya ndege mara kwa mara. Ikiwa…
Na Mtafiti Utafiti wa awali na Utengenezaji wa Chakula Utafiti wa viungo mchanganyiko vinavyotumika na wakulima kulishia samaki, na unaofaa ulifanyika katika mikoa ya Arusha na Mbeya. Lengo la utafiti…
Na Deogratious Sijaona: Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha mchanga/udongo kabisa. Mimea inaoteshwa katika chombo maalum “tray” ambacho kipo safi na kina matundu kwa chini…