DHIBITI UBORA WA CHAKULA CHA SAMAKI KUPUNGUZA GHARAMA
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji…