Ufugaji wa kuku wa kienyeji na uzalishaji wa minyoo na mchwa kwa chakula cha kuku
Ndege wa kufuga ni kama vile kuku, bata, batamzinga, kanga na bata bukini. Kuku hasa ndio wanaofugwa zaidi. Watu wengi hufuga kuku wa kienyeji ambao huachiliwa kuzurura wakijitafutia chakula. Ingawa…
