Athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuku wa mayai
Pakua App ya Ufugaji HAPA Na Augustino Chengula Makala hii inampa msomaji uelewa wa kina wa nini kinatokea wakati wa baridi au joto kali hadi kupelekea kuku wake kupunguza utagaji…
Pakua App ya Ufugaji HAPA Na Augustino Chengula Makala hii inampa msomaji uelewa wa kina wa nini kinatokea wakati wa baridi au joto kali hadi kupelekea kuku wake kupunguza utagaji…
Pakua app ya Tovuti hii ya Ufugaji HAPA Na Augustino Chengula Neno protein siyo geni machoni pa wafugaji karibu wote maana limekuwa likitumika hata kwenye vyakula vya binadamu. Kuku wa…
Pakua app yako ya Ufugaji HAPA ili uweze kufuatilia elimu hii kiganjani mwako Ugonjwa huu husababishwa na protozoa. Ugonjwa huu wa kuhara damu huonekana katika sura mbili. (1) Caecal coccidiosis…
Na Augustino Chengula Haya ni magonjwa mawili tofauti yanayoshamulia kuku yenye kufanana kwa asilimia kubwa sana. Magonjwa yote yanasababishwa na bacteria aina ya Salmonela wakitofautiana kidogo wadudu wake. Wakati Taifoidi…
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA Na mwandishi wetu Sefania Kajange Mayai kwa ajili ya kuatamiwa ni lazima yawe mapya, 1) Umri wa mayai baada ya kutagwa usiwe zaidi ya siku…
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na usambaaji kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji…
Kwenye mpango huu utajifunza yafuatayo; Njia za uendelezaji wa vizazi/Koo: Uazalishaji wa asili na uhimilishaji Dalili za ng’ombe aliyekwenye joto Sifa muhimu za kuzingatia wakati wa kuchagua dume Kupata elimu…
Kunyonyoka manyoya kwa kuku ni nini? Ni mchakato wa asili na muhimu kwa kuku kupoteza/kujinyonyoa manyoya ya zamani/yaliyochoka/yaliyovunjika ili kupata/kuota manyoya mapya. Kwa nini kuku wananyonyoka manyoya? * Sababu kuu…
PAKUA APP YA TOVUTI HII YA UFUGAJI HAPA Na Daniel Mbega BINAFSI nimezaliwa katika jamii ya wafugaji ambayo ulaji wa nyama, hasa ya mbuzi, ni sehemu ya maisha. Nakumbuka tangu…
Anza kwa Kupakua App ya Ufugaji HAPA Pamoja na kuwapatia huduma bora kuku wako, kuwakinga na wanyama na ndege wanaoweza kuwadhuru iwe ni kitu cha muhimu kwenye vitu unavyopaswa kuvifanya…
Tunashauri jamii kufuga kuku wa kuchanganya damu (cross breed) yaani pandisha kuku wa kienyeji na wale wa kisasa (indigenous + Pure breeds) ili kuweza kupata kuku ambao kwa kiasi fulani…
Na Augustino Chengula Kwa asili kuku wanapenda sana kudonoa kila kitu wanachokiona kinawavutia chenye mfanano na chakula. Kwa bahati mbaya tabia ya kudonoa haiishii tu kwa vitu bali huenda mbali…
Ndugu wadau wa mifugo na wafuatilia wa Tovuti ya Mifugo, sasa unaweza kusoma machapisho yote ya tovuti hii kupitia simu yako ya kiganjani kwa njia ya app inayopatikana Google Play…
Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya nguruwe ambayo haina kinga wala tiba.…
UPUNGUZAJI WA MIDOMO YA KUKU Maana. Ni uondoaji/ukataji wa sehemu ya ncha ya mbele kwenye upande wa juu na wa chini wa mdomo wa kuku. Kwa nini kuku hupunguzwa mdomo?…
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kufuga vifaranga vya umri wa siku moja kwa kuogopa kwamba vifaranga vinakufa sana. Kuna sababu nyingi zinazofanya vifaranga wafe. Kubwa kati ya hizo ni: WANAPOTOTOLESHWA. UANGALIZI…
UMUHIMU WA UFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA KWA BINADAMU Huongeza kipato (Familia Vs Taifa). Chanzo cha ajira. Huboresha lishe kwa binadamu. Huongeza upatikanaji wa mbolea (20kg/siku/ng’ombe). Rafiki wa mazingira. Huongeza…
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 – 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili…
MAKALA KUPITIA KIPINDI CHA IJUE SUA ZINAZORUSHWA SIKU YA JUMANNE SAA 12.30 ASUBUHI NA MARUDIO SIKU YA IJUMAA SAA 12.45 JIONI KUPITIA KITUO CHA RADIO SUAFM. FUATILIA MAKALA YA LEO…