UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA: HATUA YA NNE
Utunzaji wa kuku wa mayai wanaokaribia na wanaoanza kutaga (Wiki ya 12-20) Umri huu ni wa kuku wanaojulikana kama matetea vijana ( “pullets “) walioko kwenye kipindi cha mpito cha…
Utunzaji wa kuku wa mayai wanaokaribia na wanaoanza kutaga (Wiki ya 12-20) Umri huu ni wa kuku wanaojulikana kama matetea vijana ( “pullets “) walioko kwenye kipindi cha mpito cha…
Na Dua Ramadhan Minyoo (Red Worms) ni chakula kizuri sana cha kuku, Bata na Samaki kwani minyoo wanaprotini nyingi sana, kuku, wakipewa minyoo wanakuwa kwa haraka na kuwafanya kuwa na…
Utunzaji wa kuku wa mayai walio katika umri wa ukuaji (Wiki ya 6 au 8-12) Hii ni hatua ya kati ya ukuaji wa kuku wa mayai, si vifaranga tena bali…
A: BIASHARA YA MIFUGO KATIKA MKOA Mfanyabiashara anapaswa kuwa na vielelezo vifuatavyo: 1.Kutambuliwa na kusajiliwa na Bodi ya Nyama kupitia Idara ya Mifugo katika Halmashauri ya Wilaya husika kwa malipo…
Na Peter Britz na Samantha Venter Taarifa kuhusu Africa Kupanda taratibu kutokea mwanzo kwa ufugaji na uzalishaji wa samaki barani Afrika, inaonyesha kutakuwepo na ukuaji endelevu kwa miongo miwili ijayo.…
Chakula cha kuku ni bidhaa muhimu kutunzwa kwa uangalifu, kwani kisipotunzwa vizuri, na ukawalisha kuku wako: – Wanaweza kuumwa – Wanaweza kuacha kutaga – Au wanaweza kufa SABABU ZA CHAKULA…
-Usafirishaji na upokeaji wa vifaranga Endapo unanunua vifaranga hakikisha una namba sahihi na kwamba vifaranga wanauwiano sawa, wapo hai na wachangamfu na hawana matatizo yeyote na kitovu hakina dalili za…
Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai ni jambo la kutilia kipau mbele maana nyumba iliyobora inawafanya kuku wafurahi na kukupa matokeo unayotaraji…
Na Mkulima Mbunifu Ni rahisi sana kukuta mfugaji anapotaka kuanza mradi wa ufugaji akiwaza kupata pesa za kununua ng’ombe, kujenga banda na kisha kutafuta ng’ombe aliye bora na kumnunua akiamini…
Na SAT Morogoro Mfugaji ambaye hajaweza kuchagua eneo na kulitunza kwa ajili ya baadae kukata nyasi, anaweza kutafuta eneo la kuvuna malisho ya mifugo Malisho asilia ni uoto unaoota katika…
Na Augustino Chengula Mifuko ya plastiki imekuwa ikitumika kwa miaka mingi sasa hapa nchini kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni kubebea mizigo au bidhaa toka sokoni au mashambani. Mifuko hii…
Na Augustino Chengula Wanyama kama alivyo binadamu wanapaswa kuishi wakiwa na afya njema wakifurahia uwepo wao kwa binadamu kama ilivyoukwa siku kabla ya kuwa mikoni mwa binadamu. Wanyama wenye afya…
Na Sefania Kajange: MWENZI WA 1-2 (Chick mash) Kiini lishe Uzito (kg) Mashudu 17 Mahindi 20 Pumba 43 Dagaa 15 Chokaa 2 Konokono 2 Chumvi 0.5 Premix 0.25 Jumla 100…
Na Sefania Kajange: Ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji (pure) na wa kienyeji kutoka mataifa mbali mbali Chicks starter. Wiki 1-8 Kiini lishe Uzito (kg) Pumba za mahindi 40…
Na Sefania Kajange: Faida za kuku kumpa mboga za majani. Tukianza njia nzuri inayopendekezwa kitaalamu ni kuning’iniza mboga Sababu kubwa ni kuzuia kudonoana ¬_ Huongeza vitamini A hasa unapowa ukiwa…
Na mwandishi wetu Sefania Kajange: Upungufu wa vitamini A hujitokeza pale kuku atakapo kosa vitamini A mwilini. Ukosefu wa Vitamini A, huathiri kuku aina zote na umri wowote ila hasa…
Na Mwandishi Wetu Sefania Kajange: JINSI YA KUTENGENEZA MINYOO KWAAJILI YA KUKU Kutengeneza minyoo ya chakula (red worms planning) Red worms planning ni utaratibu wa kuzalisha minyoo kwa ajili ya…
UFUGAJI BORA WA NG’OMBE WA ASILI KIMEANDALIWA NA FARM-AFRICA TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI YA WILAYA ZA BABATI NA HANANG Yaliyomo: SHUKRANI …………………………………………………………………………………………………………………………4 UTANGULIZI: …………………………………………………………………………………………………………………….5 1.0 Utangulizi……………………………………………………………………………………………………………………….7 2.0 Aina za…
Pakua App ya Tovuti hii HAPA Na Mwandishi wetu: Sefania Kajange Lengo la somo hili ni kukuwezesha wewe mfugaji kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi na kukuwezesha wewe kupata…
Na Augustino Chengula UTANGULIZI Ufugaji wa kuku wa mayai katika Makala hii ya ufugaji wa hatua kwa hatua nitaelezea ufugaji wa kuku wa mayai kwa lengo la uzalishaji wa mayai…