MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
BIOSECURITY KATIKA UFUGAJI WA KUKU: SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na kusambaa kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji kuku umeongezeka kwa kasi, magonjwa…
CHANGAMOTO NI MTAJI KATIKA UFUGAJI WAKO
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto zake na zinatofautiana. Hivyo hata ufumbuzi wa changamoto hizo unatofautiana sana. Kikubwa usikate tamaa maana ndio…
MATUMIZI YA MADAWA YA MIFUGO YANAVYOPELEKEA USUGU WA BAKTERIA KATIKA MIFUGO
PATA ELIMU HII KUPITIA APP MPYA ILIYOPORESHWA HAPA Bakteria ni nini? Bila shaka swali hili kila mfugaji anaweza kulijibu kwa ukamilifu maana mifugo yake kwa wakati mmoja au mwingine imeugua…
KUDONOANA NA KULA MAYAI
MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza…
ZINGATIA YAFUATAYO KULEA VIFARANGA
MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja ya sehemu muhimu ya kuzingatia sana kwaajili ya kuku wenye ukuaji mzuri na uwezo mzuri…
HUDUMA KWA MWANGALIZI WA KUKU
HABARINI NAKUMBUKA NATAKIWA KULETA SOMO LA MWANGA NITATEKELEZA LEO Ila naomba twende sawa hapa wafugaji mkifaulu katika swala hili hamtakaa mjute wala kumlipa mfanyakazi wa kuhudumia kuku hela kidogo MTUNZAJI…
ADA NA TOZO MBALIMBALI ZA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI ZAREKEBISHWA KUBORESHA MAZINGIRA YA KUFANYA BIASHARA
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2020/21 Waziri wa fedha…
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO 2020/2021: MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2020/21 MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA…
SIFA ZA BANDA BORA KWA KUFUGIA KUKU
NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa…
HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2020/2021
HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2020/2021 PAKUA…
YALIYOTEKELEZWA NA YATAKAYOTEKELEZWA NA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2019/20
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara…
VIDEO&PDF: MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA 2019/2020
MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 HOTUBA YOTE KWA MFUMO WA VIDEO HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHESHIMIWA…
MCHANGO WA SEKTA YA KILIMO KWENYE PATO LA TAIFA KWA MWAKA 2018/2019
DONDOO ZA HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI YA BAJETI YA MWAKA 2018/2019 MAKADIRIO YA ONGEZEKO LA MIFUGO TANZANIA Katika mwaka 2018/2019, Wizara ilitarajia kukusanya kiasi cha shilingi 18,467,945,100.…
ONGEZEKO LA MIFUGO NA MAZAO YAKE NCHINI KATI YA MWAKA 2017/2018 NA 2018/2019
DONDOO ZA HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI YA BAJETI YA MWAKA 2018/2019 MAKADIRIO YA ONGEZEKO LA MIFUGO TANZANIA Aina ya mfugo Idadi 2017/2018 Idadi 2018/2019 Ng’ombe milioni 30.5…
UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI
Na Godwin Magambo Leo nawaletea makala kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai (Layers, Kuroilers) Utengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia fomyula sahihi ni njia nzuri kwa mfugaji…
KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA)
Ugonjwa huu husababishwa na bacteria Pasteurella multocida. Kuenea Ugonjwa huu huenea kutoka kwa kuku mmoja kwenda kwa mwingine kupitia maji na chakula kilichochafuka. Wadudu kama nzi na utitiri mwekundu na…
KWA NINI TUNAHITAJI DHANA YA “AFYA MOJA” KWA BINADAMU, WANYAMA NA MAZINGIRA?
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA Leo nakuletea Makala itakayojibu swali la kwanini tunahitaji dhana ya “Afya Moja” kama nchi ili kukabiliana na magonjwa yanayo mpata binadamu na Wanyama. Haijalishi wewe…
EMAX PRO FEED: KIRUTUBISHO KISICHO NA KEMIKALI KWA AJILI YA MIFUGO NA MIMEA
EMAX PRO NI NINI? Emax pro feed ni kirutubisho kisicho na kemikali kwa ajili ya mifugo,mimea na kurekebisha mazingira. Emax imetengenezwa kwa Lactic acid bacteria (Lactobacillus spp) Yeast (sacchromyces spp)…