Ukaushaji wa samaki wadogo Ziwa Nyasa kwa kutumia nishati ya jua
Kitendo cha kutupa samaki kinaweza kuonekana kama kitendo kisicho cha kawaida au jambo lisilo la busara, lakini kwa ujumla huwepo upotevu mkubwa wa samaki baada ya kuvuliwa. Baadhi ya wavuvi…
Jinsi ya kulea vifaranga wa Bata mzinga
Na Walter Riwa 0756264580 DSM (imehaririwa) Vifaranga wa bata mzinga ni tofauti na wa kuku kwani vifaranga wa kuku hutotolewa wakiwa tayari wanajua kujifunza kula na kunywa maji wakati wale…
Kanuni za ufugaji bora wa ng’ombe
Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi.…
Kundi la ng’ombe likipelekwa mnadani
Ng'ombe wakiswagwa kutoka soko la Nambogo na wafugaji jamii ya Barabaig mkoani Mororgoro
Kanuni 10 za msingi za kuzuia magonjwa ya ndege (kuku, bata, bata mzinga, kanga)
KANUNI ZA MSINGI Wape kuku lishe jnayofaa na maji safi haswa vifaranga wadogo. Wajengee mabanda/nyumba ya kujisitiri dhidi ya upepo na mvua. Safisha nyumba ya ndege mara kwa mara. Ikiwa…
Tanzania ijayo: Ufugaji wa kisasa na biashara kubwa ya mazao ya mifugo yetu
BIASHARA YA MAZAO YA NG’OMBE DUNIANI Mazao makuu ya ng’ombe (cattle) ni: (i) NYAMA: beef (adult cattle) na veal (calves) na sehemu nyingine za ng’ombe zinatumika kwa chakula; (ii) MAZIWA…
Huduma za ugani zinazotolewa na watalaam wa mifugo
Huduma za ugani hutolewa na wataalam wa mifugo wa Serikali wa Halmashauri, pamoja na sekta binafsi katika kliniki na vituo vya mifugo. Huduma zinazotolewa na Wataalamu wa Mifugo wa Serikali:-…
Uandaaji wa chakula cha mifugo kwa njia ya hydroponics fodder
Na Michael Ngonyani Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha matumizi ya mchanga kabisa, isipokuwa mimea inaoteshwa katika chombo maalum ‘tray” ambacho kipo katika hali ya…
Tathmini ya upatikanaji wa malighafi asilia kwa ajili ya utengenezaji vyakula bora vya Perege Tanzania
Na Mtafiti Utafiti wa awali na Utengenezaji wa Chakula Utafiti wa viungo mchanganyiko vinavyotumika na wakulima kulishia samaki, na unaofaa ulifanyika katika mikoa ya Arusha na Mbeya. Lengo la utafiti…
Jinsi ya kuandaa chakula cha mifugo yako kwa njia ya hydroponic
Na Deogratious Sijaona: Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha mchanga/udongo kabisa. Mimea inaoteshwa katika chombo maalum “tray” ambacho kipo safi na kina matundu kwa chini…
Chakula bora na nafuu cha samaki ni suluhisho la uhakika kwa maendeleo ya ufugaji samaki tanzania
Na Mtafiti Chakula cha samaki ni tatizo kubwa katika maendeleo ya ufugaji wa samaki hapa nchini. Wengi wa wafugaji wadogo wa samaki hutegemea kurutubisha bwawa kwa kutumia chakula kisichokuwa na…
Ugonjwa wa kuku: Avian Leukosis (kansa ya kuku)
Na Augustino Chengula Avian leukosis unaojulikana kama kansa ya kuku unasababishwa na virusi walioko kwenye kundi moja na virusi vya ukimwi kisayansi linaitwa retroviruses (family retroviridae). Hawa virusi wa kuku…
Ufugaji wa kuku wa asili: Dondoo za ufugaji
Dondoo za ufugaji bora wa kuku wa asili Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja…
Hotuba ya Bajeti Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwaka wa fedha 2016/2017
Hotuba ya Bajeti Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016 inapatikana hapa Hotuba-ya-Bajeti-2016-17. Wizara ya…
UFUGAJI MSETO WA SAMAKI, WANYAMA NA KILIMO CHA MAZAO ILI KUONGEZA TIJA
UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali…
Tofauti kati ya ugonjwa wa Avian Leukosis na Mareksi
Mfanano: Magonjwa haya yanafanana sana kwa kuwa na viuvimbe vya kansa vyenye muonekano wa rangi ya kijivu kwenye ini, bandama, figo. Mwishoni mwa kukaribia kufa kwa magonjwa yote huonyesha dalili…
Namna ya kujiunga na kundi la kilimo na mifugo
Ndugu wadau wa mifugo, kuna kundi la kilimo na mifugo limeanzaishwa likiwa na miezi miwili sasa. Lilianzia whatsapp lakini sasa lipo Teregram kwasababu Teregram inauwezo wa kuwa na wengi zaidi.…
Ufugaji wa kuku wa kienyeji kama mradi
Na. Ev. Mujaya Mujaya Simu: +255715678122 au +255768678122 Barua Pepe: ev.mujaya@gmail.com MAHITAJI Kuku(tetea) 10 na Jogoo 01 Banda bora Vyombo vya chakula na maji Chakula bora Madawa na chanjo kwajili…
Mambo ya msingi mifugo na kilimo viendelee hapa nchini
Ili mifugo na kilimo viendelee Tanzania ( Mazao, Mifugo na Uvuvi) vinahitaji yafuatayo; Mifugo Lazima tuwe na mitamba ya mifugo wa kisasa wa maziwa na nyama ili kupata tija kubwa…
You must be logged in to post a comment.