UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI
Na Godwin Magambo Leo nawaletea makala kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai (Layers, Kuroilers) Utengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia fomyula sahihi ni njia nzuri kwa mfugaji…
Na Godwin Magambo Leo nawaletea makala kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai (Layers, Kuroilers) Utengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia fomyula sahihi ni njia nzuri kwa mfugaji…
Ugonjwa huu husababishwa na bacteria Pasteurella multocida. Kuenea Ugonjwa huu huenea kutoka kwa kuku mmoja kwenda kwa mwingine kupitia maji na chakula kilichochafuka. Wadudu kama nzi na utitiri mwekundu na…
-Kinga dhidi ya magonjwa na wadudu waharibifu Katika hatua hii nitaelezea magonjwa muhimu yanayo wakabili kuku wa mayai na wadudu walibifu na namna ya kukabiliana navyo. Ni hatua muhimu sana…
Uondoaji wa kuku waliokoma/kupunguza kutaga na kuanza upya ufugaji (Wiki ya 80 na kuendelea) Kuku wazuri wanaweza kutaga vizuri mfululizo kwa kipindi cha miaka miwili baada ya hapo utagaji wao…
Na Dua Ramadhan Ufugaji wa mende ni ufugaji ambayo unapendwa sana kwani nchini china, Denmark na Australia chakula kikuu cha kuku ni mende. Mende upunguza gharama kubwa ya chakula cha…
Utunzaji wa kuku wanao taga (Wiki 20-120) Kama tulivyoona kwenye hatua ya nne ya ufugaji wa kuku wa mayai, kuku wa mayai wanaweza kuanza kutaga yai moja moja na wakati…
Na Dua Ramadhan Moja ya virutubisho muhimu vya kuku ni protini ambayo unaweza kuwapa kupitia vyakula mbalimbali. Funza ni wadudu walio na protini nyingi ambayo inahitajika sana kwa ajili ya…
Utunzaji wa kuku wa mayai wanaokaribia na wanaoanza kutaga (Wiki ya 12-20) Umri huu ni wa kuku wanaojulikana kama matetea vijana ( “pullets “) walioko kwenye kipindi cha mpito cha…
Na Dua Ramadhan Minyoo (Red Worms) ni chakula kizuri sana cha kuku, Bata na Samaki kwani minyoo wanaprotini nyingi sana, kuku, wakipewa minyoo wanakuwa kwa haraka na kuwafanya kuwa na…
Utunzaji wa kuku wa mayai walio katika umri wa ukuaji (Wiki ya 6 au 8-12) Hii ni hatua ya kati ya ukuaji wa kuku wa mayai, si vifaranga tena bali…
Chakula cha kuku ni bidhaa muhimu kutunzwa kwa uangalifu, kwani kisipotunzwa vizuri, na ukawalisha kuku wako: – Wanaweza kuumwa – Wanaweza kuacha kutaga – Au wanaweza kufa SABABU ZA CHAKULA…
-Usafirishaji na upokeaji wa vifaranga Endapo unanunua vifaranga hakikisha una namba sahihi na kwamba vifaranga wanauwiano sawa, wapo hai na wachangamfu na hawana matatizo yeyote na kitovu hakina dalili za…
Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai ni jambo la kutilia kipau mbele maana nyumba iliyobora inawafanya kuku wafurahi na kukupa matokeo unayotaraji…
Utangulizi Ufugaji wa samaki ni ukuzaji wa samaki katika mabwawa, matenki n.k Mseto wa ufugaji wa samaki, kuku na kilimo cha mzao ya kilimo (Integrated Aquaculture agriculture -IAA) ni kilimo…
Na Sefania Kajange: MWENZI WA 1-2 (Chick mash) Kiini lishe Uzito (kg) Mashudu 17 Mahindi 20 Pumba 43 Dagaa 15 Chokaa 2 Konokono 2 Chumvi 0.5 Premix 0.25 Jumla 100…
Na Sefania Kajange: Ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji (pure) na wa kienyeji kutoka mataifa mbali mbali Chicks starter. Wiki 1-8 Kiini lishe Uzito (kg) Pumba za mahindi 40…
Na Sefania Kajange: Faida za kuku kumpa mboga za majani. Tukianza njia nzuri inayopendekezwa kitaalamu ni kuning’iniza mboga Sababu kubwa ni kuzuia kudonoana ¬_ Huongeza vitamini A hasa unapowa ukiwa…
Na mwandishi wetu Sefania Kajange: Upungufu wa vitamini A hujitokeza pale kuku atakapo kosa vitamini A mwilini. Ukosefu wa Vitamini A, huathiri kuku aina zote na umri wowote ila hasa…
Na Mwandishi Wetu Sefania Kajange: JINSI YA KUTENGENEZA MINYOO KWAAJILI YA KUKU Kutengeneza minyoo ya chakula (red worms planning) Red worms planning ni utaratibu wa kuzalisha minyoo kwa ajili ya…
Pakua App ya Tovuti hii HAPA Na Mwandishi wetu: Sefania Kajange Lengo la somo hili ni kukuwezesha wewe mfugaji kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi na kukuwezesha wewe kupata…